Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Sawa maana leo hii nimeweka kwenye historia ya kitabu changuInabidi uangalie tuu mchezo unavyokuwa
Sawa maana leo hii nimeweka kwenye historia ya kitabu changuInabidi uangalie tuu mchezo unavyokuwa
Wajinga kweeeli hao, kwa akili zao wametuona sie vilaza eeehh!!!Sawa maana leo hii nimeweka kwenye historia ya kitabu changu
Asante mamaa wa viporo hapa ndio ninapoona umuhimu wakoNdio uione saasa
Yaani ruge ndo poyoyo alie pitiliza maana naona alicho kifuata huko ni kwenda kudhalilikaWajinga kweeeli hao, kwa akili zao wametuona sie vilaza eeehh!!!
Sio hiyo mondray ile nyingine
Nzuri kabisa shemela wa mimi, kina JJ wako vizuri sana, D hajamboSafi shemela wangu za wewe jaman wakina jj wanaendeleaje
Hivi ulikuepo kweliWajinga kweeeli hao, kwa akili zao wametuona sie vilaza eeehh!!!
Ni kweli kabisa shemelaYaan Mungu ni mwema shemela kwa kunirudishia mume
D mzima sana jamanNzuri kabisa shemela wa mimi, kina JJ wako vizuri sana, D hajambo
Kwani ruge ana nn jamani mbona ni HB tuutani gani huo lakini dada wa kufanana na ruge
BabyHivi ulikuepo kweli
Kina nani tena haoWajinga kweeeli hao, kwa akili zao wametuona sie vilaza eeehh!!!
Nimewapata sasaYaani ruge ndo poyoyo alie pitiliza maana naona alicho kifuata huko ni kwenda kudhalilika
Mnantia genye mieeNakipenda jaman ila sitaki kizidi
Wakati yeye ndio shabikii wa wahenga, atakosaje kwa mfanoNyie wahenga ...shunie hayumo lakin niwekee isidingo ??
Yalaaa.. ..ashiii.....Cha muhimu position tuu...!
Kuku wako unamuweka juu ya meza wewe unakaa kwenye kiti unamla taratiiiiibu tuuu.
Oooh bongee ! Oooh bongee! Kumbe mtekenyo wa korea..![]()
![]()
Hongera kwa 256Nitaongezea Baba D jaman