Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
"Ombeni nanyi mtapewa,tafuteni nanyi mtaona,bisheni nanyi mtafunguliwa...."bwana anasema ombenii na mtapewaa na kesha mkiomba make saa huijuii
Unene ule hapana aiseeeUsicheke Shunie... Unamuona lakinii
Huku hamna JuaWe nakufahamu ujue hukosi na jua hili
duuuuuh kwelii bongo bahati mbaya...sema sijafatilia kilichojiliii leoHiyo kesi ni historia..
Mwenzanguu
Sasa hapooo si wanavunja chaga..... Huyoo mkewe anahimili kishindo aisee
Wakina nani tena hao jamaanKama watu wangu vile eeehh... Wanajuaga kunitesa kweeeli
Hahaaa!duuuuuh kwelii bongo bahati mbaya...sema sijafatilia kilichojiliii leo
aiiiiseeeehMblock tena bhanaa
Kufanana na ruge jaman ujue nilimvuta ruge hapaa na alivyo na ile sura yakeNini sasaaa
Nilikua sijaiona hiyo text jamanUkiwa kwa bi mdogo hakuna kummis bi mkubwa
shunie mama dear uko poa ....nimekumis kipenzii nsjus una wasiwasi nilipo niko salama full kukumis
Wewe sifanani na Ruge hata kidogoooo!Kufanana na ruge jaman ujue nilimvuta ruge hapaa na alivyo na ile sura yake
kesho magazetii yataandika bashite na lugeHahaaa!
But you have the info now already..
Halafu huwa anaonekana innocent utadhani sio yeyeHapo ndo najua makonda ni zaidi ya tumwonavyo na kumzungumzia mengi najaribu kufuatilia matukio yake toka kipindi cha mkwele huyu makonda ni zaidi ya mwonekano wa nje
Baba D ndio mana huwa nakwambia ufanye mazoezi sitaki me uje kuwa kama msechukitambii vipii
Watajua wenyewe! Ila lile azimia la vyombo vya Habari sio Ruge.kesho magazetii yataandika bashite na luge
NdiooIle siku ya T aliyopotea ghafla
Unataka kusema msechu hakuwezi ?
AmenMsihukumu msije mkahukumiwa ninyi
Kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo ndiyo mtakayohukumiwa, na kipimo kile mpimiacho ndicho mtakachopimiwa
Basi mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii?
Au utamwambiaje nduguyo, niache nikitoe kibanzi katika jicho lako na kumbe mna boriti ndani ya jicho lako mwenyewe?
MATHAYO:7;1-4
Na hili ndio Neno la Bwana la leo mbarikiwe muwe na jumamosi njema