Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Kwa nini nimekublck lakinimtafutee mimi kaniblock naona napiga haipitii
D sio msabato
Kwa nini nimekublck lakinimtafutee mimi kaniblock naona napiga haipitii
D sio msabato
Dada nimeshakujaShunie hapokei Simu wala hajibu txt...
Ulumfanyaje toka jana alikuwa anakuulizia ujue!!!!
Labda Davie ni msabato
Aiseee huu ujio sio wa nchi hiikapuku wote nawasalimu katika jina la Yesu jina lipitalo majina yote
Ameshanipigia nimeshakuja ninachomshkuru Mungu huko ulipotekwa upo mzima tu basi hiko ndio kikubwa Baba Dhapana leo jumapili make D kaniomba sadaka asubh ...
mpigie shunie
Bado unaendelea kutekwa na leonyumbanii leo sitoweza kufika
Afadhali umekuja mke mweee umeamkaje pole na mawazoHongera sana jaman
Mke mwee kutekwa kwingine ujue ata kuaga unashindwa nguo zako umelowekea simu zimezimwa unaanzaje kutoka na kuaga me nafurahi yupo mzima basi jaman Baba D na leo unaendelea kutekwa tena baba angu![]()
![]()
hata ukitekwa uwe unaaga mtoto wa watu atakufwa ujue
Alikuwa kupikwa kiroho labdaAiseee huu ujio sio wa nchi hii
Nipo hapa mimi jamanhiiiii jamaniii yuko wapiiiiiiii
MmmmmhOohooo unaniuzia kesi,me ntakimbia we jiandae tu kujtetea
Sawa ila najua kila sehemu maonyesho yapoHapana kk cpo nyumbani
Hivi Baba D unataka kuniuasakayo ....kazi yako unaijuaa nitafutie mdogo wako