Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Aug 4, 2017 #254,921 Transcend said: Pole mkuu... Na hongera Click to expand... Pamoja sana mdau .....
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Aug 4, 2017 #254,922 Habari za asubuhi wa wadau Niwatakie asubuhi njema na mwanzo mzuri wa week end .......
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Aug 4, 2017 #254,923 shululu said: View attachment 557595Sijui na nipashe nao watafungiwa, kwa kuweka picha za Marais ukurasa wa mbele Click to expand... Never .....
shululu said: View attachment 557595Sijui na nipashe nao watafungiwa, kwa kuweka picha za Marais ukurasa wa mbele Click to expand... Never .....
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Aug 4, 2017 #254,924 shululu said: View attachment 557623Sina la ziada kutoka magazetini Nawatakieni ijumaa njema Click to expand... Ahsante mdau .....
shululu said: View attachment 557623Sina la ziada kutoka magazetini Nawatakieni ijumaa njema Click to expand... Ahsante mdau .....
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Aug 4, 2017 #254,925 Bitoz said: Habari za asubuhi wa wadau Niwatakie asubuhi njema na mwanzo mzuri wa week end ....... Click to expand... Nzuri mdau, pamoja nawe
Bitoz said: Habari za asubuhi wa wadau Niwatakie asubuhi njema na mwanzo mzuri wa week end ....... Click to expand... Nzuri mdau, pamoja nawe
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Aug 4, 2017 #254,926 Bitoz said: Ahsante mdau ..... Click to expand... Pamoja sana mdau
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 4, 2017 #254,927 shululu said: View attachment 557623Sina la ziada kutoka magazetini Nawatakieni ijumaa njema Click to expand... Asante ankali
shululu said: View attachment 557623Sina la ziada kutoka magazetini Nawatakieni ijumaa njema Click to expand... Asante ankali
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Aug 4, 2017 #254,928 Jimena said: Asante ankali Click to expand... Pamoja ankali
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Aug 4, 2017 #254,929
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Aug 4, 2017 #254,930
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 4, 2017 #254,931 Leo katika Historia 1924 - Mahusiano ya Kidiplomasia kati ya Mexico na Urusi yaanzishwa.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 4, 2017 #254,932 Leo katika Historia 1936 - Waziri Mkuu wa Ugiriki, Ioannis Metaxas anavunja Bunge na Kuvunja Katiba pia kwa kutoitambua, na kuanza utawala wa Kidikteta ktk Nchi hiyo.
Leo katika Historia 1936 - Waziri Mkuu wa Ugiriki, Ioannis Metaxas anavunja Bunge na Kuvunja Katiba pia kwa kutoitambua, na kuanza utawala wa Kidikteta ktk Nchi hiyo.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 4, 2017 #254,933 Leo katika Historia 1947 - Mahakama Kuu ya Japan yaanzishwa rasmi.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 4, 2017 #254,934 Leo katika Historia 1958 - Chati ya muziki ya " Billboard hot 100 " yaanza rasmi huko Marekani.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 4, 2017 #254,935 Leo katika Historia 1977 - Rais Richard Nixon wa Marekani anasaini uanzishwaji wa Wizara ya Nishati nchini humo.
Leo katika Historia 1977 - Rais Richard Nixon wa Marekani anasaini uanzishwaji wa Wizara ya Nishati nchini humo.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 4, 2017 #254,936 Leo katika Historia 1984 - Nchi ya Upper Volta yabadili jina lake na kuanza kutambulika kama Burkina Faso.
Leo katika Historia 1984 - Nchi ya Upper Volta yabadili jina lake na kuanza kutambulika kama Burkina Faso.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 4, 2017 #254,937 Leo katika Historia 1821 - Louis Vuitton anazaliwa. Ni mbunifu wa mavazi toka nchini Ufaransa.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 4, 2017 #254,938 Leo katika Historia 1900 - Mama yake na Malkia Elizabeth wa Uingereza anazaliwa. Alijulikana kama " Queen Elizabeth The Queen Mother " Alifariki Dunia mwaka 2002.
Leo katika Historia 1900 - Mama yake na Malkia Elizabeth wa Uingereza anazaliwa. Alijulikana kama " Queen Elizabeth The Queen Mother " Alifariki Dunia mwaka 2002.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 4, 2017 #254,939 Leo katika Historia 1961 - Rais Barrack Obama anazaliwa. Ni Rais wa 44 wa Marekani.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 4, 2017 #254,940 Leokatika Historia 1974 - Killy Gonzalez anazaliwa. Ni mchezaji wa zamani wa klabu za Valencia, Inter Milan na Timu ya Taifa ya Argentina.
Leokatika Historia 1974 - Killy Gonzalez anazaliwa. Ni mchezaji wa zamani wa klabu za Valencia, Inter Milan na Timu ya Taifa ya Argentina.