How about membersHabari wana JF
Habari Makapuku wenzangu
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya makapuku wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za kukabiliana na mambo yote humu.
Makapuku natumaini nyote tutashirikiana katika jambo hapa JF. Bila kumsahau founder wa makapuku Bitoz shukrani kwake
Karibu sana makapuku katika mjadala. Wengine nitawaongeza hapo baadae.
Karibu sana
Bitoz
JF Makapuku Founder
Jimena
JF Makapuku assistant Founder
Th Name JF Makapuku assistant Founder
Kwa nini unikimbie lakiniiMiss you my breath..
AiseeeeUbuyu wa mwaka juzi huoo
Weeee[emoji12]Siku nyingi
Si ulisema niwahi leo..Kwa nini unikimbie lakinii
Basi nimerudi..Unaenda wapi kwa mfano
Kwema tuKwema shemeji? Za miezi? Bro wangu Shedede una habari zake? Hata PM hajibu siku hizi.
OoohSi ulisema niwahi leo..
Safi sana mkuuHawajambo kabisa
Kumbe nawe umeliona hilo [emoji14] [emoji14]Hivyo hivyo [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ulikuwa unamaanisha nini?How about members
Kumbe nilikuwa nina Viporo vitatuAngalia za leo asubuhi
EwaaaBasi nimerudi..
Nimeliona mkuuKumbe nawe umeliona hilo [emoji14] [emoji14]
Amina[emoji524] Yesu akawaambia hamkupata kusoma katika maandiko
Jiwe walilokataa waashi, hilo limekuwa jiwe kuu la pembeni, Neno hili limetoka kwa Bwana, nalo ni ajabu machoni petu
Kwa sababu hiyo nawaambia, ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapeaa taira lingine lenye kuzaa matunda yake
Naye aangukaye juu ya jiwe hilo atavunjika vunjika, naye ye yote ambaye litamwangukia, litamsaga tikitiki. [emoji524]
MATHAYO:21:42:44
Mbarikiwe jamaan muwe na usiku mwema nawapenda sana [emoji120]
Salamu zangu ulizifikisha Mkuu?Usinipeleke kwa mkemia tuu!
Asante mama D...Ewaaa
Pole na majukumu Baba D