Ni kweli, but ulikuwa na totoz vichaa hadi unajiuliza vyatokea sayari gani!!! Warundi+vinyarwanda hapo vilikuwepo sanaUtakuwa ulifungiwa ...sasa hivi kuna ukumbi wa disco unaitwa Las Vegas iliyopo Opp na Uhazili na mwimngine unaitwa shimoni...ila kutafuta ghorofa Tabora ni sawa na kutafuta nyota angani mchana!
Shindwa pepoHamna, tuzime taa kidogo.
Pepo halipo dada acha kuogopaShindwa pepo
Lipo linanyemeleaPepo halipo dada acha kuogopa
Linalonyemelea ni lioga. Hivi ulisema kesho wapi lunch!Lipo linanyemelea
Ni kweli, but ulikuwa na totoz vichaa hadi unajiuliza vyatokea sayari gani!!! Warundi+vinyarwanda hapo vilikuwepo sana
Duuh huko kote nimevuka mkuu!Tuongee na vya sekondari...vipi ushafanya mitihani ya bodi,uko intern ama bado unapiga shule mkuu?
Sekondari!Duuh huko kote nimevuka mkuu!
He! [emoji12]Shindwa pepo
Duuh huko kote nimevuka mkuu!
Lipepo linakunyemelea[emoji35]He! [emoji12]
Nimekuwa pepo tena?
Goodmorning MadamKumekuchaaaaaaaaa
Hamna madam, wee tufanye kidogo tu.Lipepo linakunyemelea[emoji35]
Umeamka salama Mkuu?Goodmorning all kapukuz
Habari shemeji!Kumekuchaaaaaaaaa
Niko poa sana mkuu vipi hukoUmeamka salama Mkuu?
Huku tunamshukuru Mungu ni wazima.Niko poa sana mkuu vipi huko