Makapuku Forum

Leo katika Historia


1934 - Jonas Savimbi anazaliwa.
Alikuwa ni kiongozi wa kikundi cha Waasi kilichojulikana kama UNITA ambacho kilikuwa kinapambana dhidi ya Serikali ya nchi ya Angola.
Savimbi alifariki dunia mwaka 2002.
 
Leo katika Historia

1964 Lucky Philip Dube anazaliwa.

Maarufu kama Lucky Dube alikuwa ni mwanamuziki mashuhuri wa muziki wa rege toka nchini Afrika Kusini.

Aliuwawa kwa kupigwa risasi mwaka 2007.
Ni mwanamuziki pekee wa Regge ambaye hakuwa anatumia kilevi cha aina yoyote ile.
 
Leo katika Historia

1936 - Jesse Owens ashinda mbio za mita 100 na kushangaza watu wengi akiwemo kiongozi wa Ujerumani Adolf Hitler katika mashindano ya Olimpiki ya majira kiangazi huko Jijini Berlin.
: Alifariki n aka 1980 akiwa na umri wa miaka 66
Aliendelea kutunukiwa tuzo za heshima hata baada ya kifo chake
Hero
.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…