Makapuku Forum

Kipimo cha mkemia mkuu ni Evidence from an expert ila ishu hapa ni kwamba Mkemia yupo upande wa serikali na pia serikali ndo inayomshtaki Madame hapa lazima kuwe na utata pia huwezi tu kimzoa mtu kitaa na kuchukua mkojo wake bora hata hospitali tunajipeleka wenyewe

Ushahidi wa aina hii ni mzuri mahakamani ila pia ni mbaya sana maana wataalamu wanatumika vibaya kwa naslahi fulani hivyo mara nyingi tu expert evidence is fake
Kila la kheri Wema
........
 


......
 
Leo katika Historia

1990 - Iraq yaivamia Kuwait na kusababisha kuzuka kwa vita vya Ghuba.

Vita ilihusisha operesheni kuu mbili yaani Operation Desert Shield na operesheni nyingine Operation Desert Storm
Ilipigwa maeneo ya Irak,Kuwait ,Israel na Ghuba ya Persian
Kama kawaida mzee wa permanent interests Marekani alikuwepo akisapoti upande wenye maslahi kwake(Kuwait) ila hakufua dafu
.....
 
Leo katika Historia

1998 - Vita ya pili ya Congo yaanza.
Pia hujulikana kama vita ya Dunia ya Afrika.

Ilokuwa ni takribanimwaka mmoja tu tangu vita ya kwanza kuisha
Mwaka 2002 yalisainiwa makubaliano ya amani ya kumaliza vita ila wababe wa upande wa Mashariki wakaendeleza tu vita
Vita ikaisha rasmi mwaka 2003 baada ya kuundwa serikali ya mpito chini ya Kabila Jr(Joseph Kabila) na kuokoa jahazi ila hadi leo hapajatulia
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…