Zawadi ni jadi yetu, vilevile kila mtu ni mzuri kwao, sisi hatuna mzuri kuzidi meingine, wote wana hadhi sawa kwani muumba ni mmoja,
Nawe umechagua kwa roho yako, ukishindwa wengine wanajigonga watabeba, hii ni biashara ya kauzu hajui kuremba
Ha ha haaa ndugu/bwana/prof shemeji.. nitafanya upembuzi yakinifu kwa kuwa ni dhahiri sasa nipo kwenye mpango mkakati wa kurasimisha hili suala ili kukabiliana na changamoto za Milenia!