Makapuku Forum

Manchester United wamemchukua Matic kwa £50M
Contract ya miaka mitatu
Habari njema
Ila mbaya kwa mkubwa Fella
Sijui watapangwaje wote yaani Matic,Carrick,Pogba,Fella & Herrera
Naona maumivu kwa Fella zen Mata halafiu Lingard
Ila Fella ataumia zaidi
Ila ni jambo jema kuwa ns kokosi kikubwa
.......
 
5/The Oriental Pearl Tower
Mnara huu unapatikana karibu na mto Hangpu huko Pudong New Area Shanghai nchini China
Ndo mnara unaotegemewa kwa matangazo ya radio na luninga jojini Shanghai
Ulianza kujengwa mwaka 1991 na kukamilika mwaka 1994
Ni mnara mahusudi kurushia matangazo ya vyombo vya habari ila pia una migahawa na hoteli, bila kusahau unatumika kulitazamia jiji la Shanghai

Una urefu wa futi 1,535
.........
 
4/Ostankino Tower
Huu ndo mnara mrefu zbaidi barani Ulaya

Upo kule kwa "Kumsamehe gaidi ni kazi ya Mungu ila kumpeleka gaidi kwa Mungu ni kazi ya Putin"
Sasa ole wao ISIS wakaulipue kitakachowapata watajua webyewe tunaweza tukaokota hadi bongo vichwa vilivyojaa ndevu kama kambale
Upo jijini Moscnow nchini Urusi
Ulianza kujengwa mwaka 1963 na kukamilika ujenzi mwaka 1967
Unatumika kwa ajili ya kurushia matangazo ya luninga na radio,kutizama jiji la Moscow na utalii
Pia ndo jengo refu zaidi barani Ulayaa na kwa dunia unakamata # 11 ukipambanishwa na majengo yote

Una urefu wa mita 1,772
.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…