HahahaShemeji yangu Transcend jaman mana dada kanitumia text karibia 20 za furaha za kukuona ungeniulia mtu ujue sasa hivi ana bakuli la 5 la mtori furaha ya kukuona
Nisamehe jamaniiAu nimrudisheeee ??
Kama nakuonaaaaaaaaaaHahaha
Umeonaee... Ni mwendo wa mtori tuu
AsanteUsijali shem
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]...giza ni zuri kwa kifo cha mende. Mende huwa wanakufa gizani kama mlikuwa hamjui
[emoji2][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mushengaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji1]Baby sikio langu linaumaaa[emoji4] [emoji4]
YaaniKama nakuonaaaaaaaaaa
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Ha ahahhaahaha
...lazima niwe muoga, unachezea penzi langu na husna muba , nitalilinda kwa gharama zote siataki mambo ya mchezomchezo
Cc husnaShubaamiti
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] mkatishe muite spiderHuu sasa ubwege
Tunasumbuana tu kulitamka
Jina gani refu kama treni
.....
PoleeeeBinamu nimeona ye ndio aliamua kuniandika kwa makapeni
Nimpe nn mm jamani?!Binamu ujue upo in love jaman hivi anakupa nini mpendwa wako mke mwee tumosa ukuje ujionee
T jamaan ulitaka kuniulia dada angu au
Kama nakuonaOops
My love....
[emoji1] [emoji1]Ananiambia hivi binamu obe ajakupeleka kwa mganga kweli ili me nikupende
Ataenda na anko wakeBinamu kalikoroga
Hapo ndo nimeshafika tena siwezi tokaUtapendaa wewe nakuomba utuliee kwa Mondray
Tuleteee mama mchuchu[emoji2]
VizuriiiYaani
Nacheka na Simu tuu hapa.... Na bakuli la mtori