Amen, nawe pia[emoji524] Mbingu ni mali yako nchi nayo ni mali yak, ulimwemgu na vyote viujazavyo ndiwe uliyeuoiga msingi wake
Kaskazini na kusini ndiwe uliyeziumba, tabori na hermoni hulifurahia jina lako
[emoji524]
ZABURI:89:11:12
Muwe na usiku mwema [emoji120]
Karibu sana mjukuu wanguAsante babu
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujue kama sio yeye binamu
Supu zinaendelea?
Hako ka mbeleNdio yupi hapo kwa avatar mke mwee [emoji30]
Haya buana shemelaMambo ya shemela shululu hayo
Ahahah shemela niache aisee usinitafute manenoShemela naona Nyagei kazama kabisa kwa cuzoo wako
Asante shemela,, nawe pia shemela wangu wa ukweli uwe na usiku wenye baraka tele na Mungu akutangulieShemela za jioni ni poa unaingia tunatoka pole kwa kubanwa usiku mwema
Kweli we ni babu na kama ile avatar unayoiweka umevaa miwani ndio wewe acha niendelee kukuita babu tuHa ha ha ha ha ha ha ha.... Hapa kwetu kuna jamaa aliandika gari yake 'babu kessy' na akawa kweli anaitwa babu kessy lakini umri wake ulikuwa haufiki miaka arobaini.... Sasa mimi nimefika na kupita si ni kibabu tu mimi Shunie.?
Kumbe shemela na nyie mlikua mnatamani kujuaUmeuliza kwa niaba ya KF wote
[emoji120]Lala unono mjukuu wangu... Ubarikiwe ulindwe uongozwe na muumba wa mbingu na ardhi.
HapanaSupu zinaendelea?
Salama pole na majukumuMy love za jioni
Acha kushangaa shemela jibu kwanza ulitekwa na nani jumapili hii mkeo kashinda kapuku tuAisee
Haaaaahaaaa, haya shemelaAhahah shemela niache aisee usinitafute maneno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hako ka mbele
[emoji120]Asante shemela,, nawe pia shemela wangu wa ukweli uwe na usiku wenye baraka tele na Mungu akutangulie
Ndio shemelaKumbe shemela na nyie mlikua mnatamani kujua