Heri kijana masikini mwenye hekima kuliko mfalme mzee mpumbavu ambaye hajui tena kupokea maonyo
Kwa maana kutoka gerezani alikuja kumiliki, naam hata katika ufalme wake alizaliwa hali ya umasikini
MHUBIRI:4:13:14
Mbarikiwe sana muwe na mchana
mwema kwenu