Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Jul 29, 2017 #250,361 lee empire said: Ndioo kwani wewe na neema wa tandika nan alikuwa wa kwanzaa Click to expand... Aiseeee
lee empire said: Ndioo kwani wewe na neema wa tandika nan alikuwa wa kwanzaa Click to expand... Aiseeee
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 29, 2017 #250,362 Leo katika Historia 1963 - Jim Beglin anazaliwa.Ni mtangazaji na mchambuzi maarufu sana wa mpira hasa Ligi kuu ya England.
Leo katika Historia 1963 - Jim Beglin anazaliwa.Ni mtangazaji na mchambuzi maarufu sana wa mpira hasa Ligi kuu ya England.
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Jul 29, 2017 #250,363 husna muba said: Viporo vina raha yake Click to expand... raha ipi
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 29, 2017 #250,364 Leo katika Historia 1963 - Graham Poll anazaliwa. Ni mwamuzi wa soka wa zamani toka nchini England.
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Jul 29, 2017 #250,365 lee empire said: Niko poaaaa pedeshee hapa .... Click to expand... Mbona unakimbia tena kuna nini pedeshee wa nini eti
lee empire said: Niko poaaaa pedeshee hapa .... Click to expand... Mbona unakimbia tena kuna nini pedeshee wa nini eti
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Jul 29, 2017 #250,366 Bitoz said: Habari za week end Mabibi na mabwana Wake kwa waume Wakubwa kwa wadogo Nafikiri mmeamka salama Niwatakie week end njema ..... Click to expand... Pouwah za wewe
Bitoz said: Habari za week end Mabibi na mabwana Wake kwa waume Wakubwa kwa wadogo Nafikiri mmeamka salama Niwatakie week end njema ..... Click to expand... Pouwah za wewe
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 29, 2017 #250,367 Leo katika Historia 1981 - Fernando Alonso anazaliwa. Ni mwendesha magari mashuhuri toka nchini Spain.
Leo katika Historia 1981 - Fernando Alonso anazaliwa. Ni mwendesha magari mashuhuri toka nchini Spain.
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Jul 29, 2017 #250,368 shululu said: Ni Davy David Au Daudi Click to expand... Yote yake shemela
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Jul 29, 2017 #250,369 shululu said: Ipo siku utarudi kwa shedede Click to expand...
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 29, 2017 #250,370 Leo katika Historia 1984 - Wilson Palicios anazaliwa. Mchezaji wa zamani wa Tottenham, Wigan na Stoke city.
Leo katika Historia 1984 - Wilson Palicios anazaliwa. Mchezaji wa zamani wa Tottenham, Wigan na Stoke city.
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Jul 29, 2017 #250,371 Bitoz said: Ahsante mdau Kwa neno la uzima ... Click to expand... Barikiwa
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Jul 29, 2017 #250,372 Linamo said: Morning all Click to expand... Mornie cuzoo
Mkushi Da Gama JF-Expert Member Joined Jun 23, 2015 Posts 3,692 Reaction score 4,995 Jul 29, 2017 #250,373 Bitoz said: Babu Wassira ni mfano tu wa ving'ang'anizi wa madaraka Kasinzia bungeni kama miaka 20 hajaridhika Halafu vijana mjiajiri .... Click to expand... Kuna kitu kasahau bungen Labda
Bitoz said: Babu Wassira ni mfano tu wa ving'ang'anizi wa madaraka Kasinzia bungeni kama miaka 20 hajaridhika Halafu vijana mjiajiri .... Click to expand... Kuna kitu kasahau bungen Labda
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 29, 2017 #250,374 Leo katika Historia 1844 - Franz Wolfgang Mozart anafariki. Alikuwa ni mpiga kinanda, gita na piano kutoka nchini Austria. Ni mmoja kati ya wapiga piano bora kabisa katika historia ya Ulimwengu. Pia alijulikana kama Little Mozart.
Leo katika Historia 1844 - Franz Wolfgang Mozart anafariki. Alikuwa ni mpiga kinanda, gita na piano kutoka nchini Austria. Ni mmoja kati ya wapiga piano bora kabisa katika historia ya Ulimwengu. Pia alijulikana kama Little Mozart.
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Jul 29, 2017 #250,375 Bitoz said: ..... Click to expand...
Mkushi Da Gama JF-Expert Member Joined Jun 23, 2015 Posts 3,692 Reaction score 4,995 Jul 29, 2017 #250,376 Linamo said: Morning all Click to expand... Mornn
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 29, 2017 #250,377 Leo katika Historia 2013 - Christian Benitez " Chucho" anafariki Dunia. Ni mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Ecuador.
Leo katika Historia 2013 - Christian Benitez " Chucho" anafariki Dunia. Ni mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Ecuador.
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Jul 29, 2017 #250,378 Jimena said: Habari za jumamosi kf na karibuni sana kwenye leo katika historia Click to expand... Asantee
Jimena said: Habari za jumamosi kf na karibuni sana kwenye leo katika historia Click to expand... Asantee
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 29, 2017 #250,379 Leo katika Historia Ni siku ya lugha ya Thai nchini Thailand.
M Mkirindi JF-Expert Member Joined Mar 2, 2011 Posts 6,752 Reaction score 4,972 Jul 29, 2017 #250,380 Jimena said: Leo katika Historia 1904 - J.R.D. Tata anazaliwa. Ni mfanyabiashara mashuhuri wa Kifaransa aliyeanzisha kampuni ya magari ya Tata. Click to expand... Tata sio Mhindi wa India. Hebu hakikisha vizuri sana Sent using Jamii Forums mobile app
Jimena said: Leo katika Historia 1904 - J.R.D. Tata anazaliwa. Ni mfanyabiashara mashuhuri wa Kifaransa aliyeanzisha kampuni ya magari ya Tata. Click to expand... Tata sio Mhindi wa India. Hebu hakikisha vizuri sana Sent using Jamii Forums mobile app