Wanachonga sana juu yangu
Achana nao
Wanapaka tope jina langu
Achana nao sisiter p ee achana naooo.....
Pembeni kuna Ally Choki muzee ya farasi
.....
Mbili haikai tatu haikai aisee, maisha yanaenda kasi sanaenzi zilee bado sijawa muhenga
Yeah,siku hazigandi aiseeMbili haikai tatu haikai aisee, maisha yanaenda kasi sana
Nyonyoooo5/Peace HydeAmezaliwa Agosti 9 1985 huko kwa vinara wa uchawi barani Afrika
Huyu ni binti wa Kighana
Ni mwongoza vipindi vya luninga na matamasha katika nchi za Ghana na Uingereza
Ni binti kichwa aliyepata Shahada ya kwanza bila kusapua(supplementary) !!! Ana Degree in Psychology(Hons) kutoka Middlesex University huko kwa Malkia
Ametajwa karibu kwenye kila jarida linalozungumzia wanawake wenyewe mvuto barani Afrika
............
Au wasage chupa wanyweAsyempenda Omotola labda wana chukibiinafsi[/bi]
Nani aliimba hii nimesahau kidogo
Ila kibwagizo ni achana nao
....
Wengine tushakuwa vibibi gagula sieMbili haikai tatu haikai aisee, maisha yanaenda kasi sana
Nyonyo linaendana na shape yake5/Peace HydeAmezaliwa Agosti 9 1985 huko kwa vinara wa uchawi barani Afrika
Huyu ni binti wa Kighana
Ni mwongoza vipindi vya luninga na matamasha katika nchi za Ghana na Uingereza
Ni binti kichwa aliyepata Shahada ya kwanza bila kusapua(supplementary) !!! Ana Degree in Psychology(Hons) kutoka Middlesex University huko kwa Malkia
Ametajwa karibu kwenye kila jarida linalozungumzia wanawake wenyewe mvuto barani Afrika
............
Wakafilie mbali kuleeAu wasage chupa wanywe
Kweliiiiii mpendwa wa binamu ujue
Tuoneshe wakwako aliyelegea
.......
Nyonyo linaendana na shape yake