Shemela nikuweke kwenye list ya wabaya wanguuu
Baba D ataniua shemela ujue Shunie your my everything. ..Weka link shemela
Barikiwa binamuAmen mtumishi. Asante sana
Baba D jaman unataka nikufwe au mbona hauniambia kama umenianzishia uzi nakupenda lee wangu Mungu azidi kuniwekea
Nakupendaa sana....wee hujuiiBaba D jaman unataka nikufwe au mbona hauniambia kama umenianzishia uzi nakupenda lee wangu Mungu azidi kuniwekea
MleteeeJuzi anko alinipa makapeni, nikuletee
Ahhahah binamu anza kuvaa nguo mpya ndio unakuwa wa kwanza,
Ha ahahhahahaha, kuna uzi sijauona, nimeanza tena kuwa wa mwisho
Ujue umeniliza Baba D nakupenda sana yana sana nikiandika siwezi maliza jamanNakupendaa sana....wee hujuii
Nimeona aiseeBaba D ataniua shemela ujue Shunie your my everything. ..
Emojiii ninazoooo,
Ha ahahhahahaha, kuna uzi sijauona, nimeanza tena kuwa wa mwisho
Ujue umeniliza Baba D nakupenda sana yana sana nikiandika siwezi maliza jaman
Ila Baba D ujiandae aisee kwa ule uzi wengine wataponda kwa nini umeandika uzi ndio mambo ya jf Baba anguEmojiii ninazoooo
Ahhaha nimeona binamu asante sanaUmeamini sasa ule mpango wa kuwaondoa wahamiaji haramu umefanya kazi?
Niambie asante aunt
Najuaa swty...daaaaah sijutiii kukufahamuUjue umeniliza Baba D nakupenda sana yana sana nikiandika siwezi maliza jaman
Emojiii ninazoooo
Hakuna aliyenituma niandikee ...waachee wanengenekweeeIla Baba D ujiandae aisee kwa ule uzi wengine wataponda kwa nini umeandika uzi ndio mambo ya jf Baba angu
Umeamini sasa ule mpango wa kuwaondoa wahamiaji haramu umefanya kazi?
Niambie asante aunt
Najuaa swty...daaaaah sijutiii kukufahamu
My bro anajivuniaa kuwa na shem kama wewe
Preshaa hizooNaona umefanya fasta kuzipata maana nilitaka nimpe simu yako aunt avitafute