Wakati huo asema Bwana nitakuwa Mungu wa jamaa zote za Israel nao watakuwa watu wangu
Bwana asema hivi watu wale walioachwa na upanga walipata neema jangwani yaan Israel hapo nilipokwenda kumstarehesha
Bwana alinitokea zamani akisema naam nimekupenda kwa upendo wa milele ndiyo maana nimekuvuta kwa fadhili zangu
YEREMIA:31:13
Muwe na usiku mwema mlindwe
na damu ya Yesu