Makapuku Forum

8/Charlie & Craig Reid

Walizaliwa Machi 5 mwaka 1962Hawa walikuwa na bendi yao waliyoiita The Proclaimers ambayo waliianzisha mwaja 1983 wakiwa na miaka 19 tu

Walitikisa sana miaka ya 1980 na kibao chao cha I am Gonna Be 500 Miles : I'm Gonna Be
(500 Miles)

.......,..,..
 
7/Kin Narita & Gin Kanie
Hawa ni mapacha walioweka rekodi ya kuishi miaka mingi zaidi hapa duniani
Hawa ni raia wa Japan waliofariki mwaka 2000 mmoja akiwa na miaka 107 halafu mwingine akiwa katimiza miaka 108
Mwaka 1992 wakati wanaadhimisha miaka 100 walizindua album waliyoipa jina la Gin Chan & Kin Chan ambayo ilibamba vilivyo huko Japan kwa akina Takuma

.............
 
6/The Harp Twins

Sijajua tarehe yao wala mwaka wao wa kuzaliwa
Ni mapacha wa Kimarekani
Hawa ni wanadada mapacha warembo ambao umaarufu umeongezeka kutokana na video zao zilizojazana huko YouTube
Wametoa singo zaidi ya 80
............
Zitaendekea baadaye
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…