Makapuku Forum

Leo katika Historia


1947 - Rais wa Marekani anasaini muswada wa kuanzishwa kwa Shirika la Ujasusi nchini humo ( CIA ) pamoja na United States Airforce pamoja na idara ya Ulinzi.

Yote hii ni kutokana na tishio la vita baridi toka Urusi.
 
Leo katika Historia

1953 - Fidel Castro pamoja na Camilo Cienfuegos wanaongoza jaribio lililoshindwa la kujaribu kuvamia Moncada Barracks na hiyo inasababisha kuanza kwa vuguvugu la Mapinduzi ya Cuba.

Na hapo ndio mwanzo wa kuundwa kwa " 26th July Movement " kikundi kilichopambana kuikomboa Cuba.
 
Ahsante mdau
Nikutakie Siku njema
.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…