Makapuku Forum

 
Mambo poa sana, yaani umetafutwa mimi na anko wangu tukaenda kutangaza kwenye spika za masjid kuwa unatafutwa, wewe kimya.

Sasa kujieleza ni jukumu lako sisi jukumu la kukutetea tuefanya na kukamilisha
Ondoa shaka mtaasisi

Tangazo nililisikia kwa mbali ikabidi nisogee karibu, na nilipojisikia nikamwambia shekhe asirudie tena hilo Tangazo maana nimeonekana.

Hapa nyumbani tayari pako poa na mpendwa wangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…