Makapuku Forum

Chaguo la Wapendanao: My Love Is Your Love

Nimerudi tena, uzuri wa KF ni kuwa na segment kadha wa kadha na zote zikiwa na leo moja tu, kukufanya ufikiri, uelewe na uburudike na si zaidi ya hapa.
Chaguo la leo ni la Shunie na linaenda kwa mtu wake wa nguvu lee empire

FYI: WH ana tuzo kibao na anatajwa kuwa ni mwanamuziki wa kike maarufu wa muda wote akiwa na tuzo kibao zinazofikia 415 zikijumlisha Emmy, Grammy (6), Billboard MA (30) na nyingine kibao. Furahia na wapendanao

 
Nakuwaje mshabiki mie binamu na vigezo vyote ninavyo


..sio vigezo tu, hata kipaji unacho na kwa kuwa uko determined kuingizwa basi naamini ukiingizwa utakazana kwa style zote ili kwenye timu upewe mkataba wa kudumu.
Shululu alikuwa anauliza eti captain nani, ukikazana vizuri utapewa ucaptain wa timu, tunakuita captainess
 
If tomorrow is judgement day
and i'm standin' on the front line
and the Lord ask me what i did with my life
i will say i spent it with you


Binamu asante sana sana kwa hii nyimbo

Baba D ikufikie popote ulipo i love u hunnie today, tomorrow and always
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…