1961 - John F. Kennedy Rais wa 35 wa Marekani anatoa hotuba ya kutoa msisitizo kuwa mashambulizi iwapo Berlin itashambuliwa basi wao wanaamini Nato nzima itakuwa imeshambuliwa.
John F. Kennedy alikuja kuuwawa November 22 Mwaka 1963
(
JFK aliandanwa na mikosi
Karibia kila jambo lilimshinda pake alipojaribu kuliweka sawa labda alifanikiwa kwenye mapenzi tu
Hata Vita Ya Vietnam hadi anauawa alikuwa keshafeli
......