Ooh basi binamu nikajua kipenzi chako mpendwa wako husna muba kumbe huyu mwingine...lol! Yaani muda wote huu ninapoongeaga kuhusu kipenzi changu huwa hunisikilizi jamani? Jina lake zuri kabeba jina la mama mkwe kulitajataja nitakosa penzi. Bado unataka nijibu nini aunt yangu
Ndoo utajuaaaHa ha ha ha ha ha ha ha.... Hivi kweli Kuna uchawi Lee?
AmeeeeeeiiiiiiniiiiiNikasema moyoni mwangu, Mungu atawahukumu wenye haki na wasio na haki kwa kuwa kuna wakati huko kwa kila kusudi na kwa kila kazi
Nikasema moyoni ni kwa sababu ya wanadamu ili Mungu awajaribu nao waone ya kuwa wao wenyewe wafanana na wanyama
Kwa maana linalowatukia wanadamu linawatukia wanyama jambo moja lawatukia anavyokufa huyu ndivyo anavyokufa huyu naam wote wanayo pumzi moja wala mwanadamu hana kitu cha kumpita mnyama kwa maana yote ni ubatili
Wote huendea mahali pamoja wote hutoka katika mavumbi na hata mavumbini hurudi tena
MUHUBIRI 3:17:20
Niwatakie usiku mwema mlindwe na damu ya Yesu
Kumbe huogopi ujauzito
Basi namimi ngoja nije kwako
Naona Obe kasahau ombi lako au huo wimbo asipouleta nikurushie
......
AminNikasema moyoni mwangu, Mungu atawahukumu wenye haki na wasio na haki kwa kuwa kuna wakati huko kwa kila kusudi na kwa kila kazi
Nikasema moyoni ni kwa sababu ya wanadamu ili Mungu awajaribu nao waone ya kuwa wao wenyewe wafanana na wanyama
Kwa maana linalowatukia wanadamu linawatukia wanyama jambo moja lawatukia anavyokufa huyu ndivyo anavyokufa huyu naam wote wanayo pumzi moja wala mwanadamu hana kitu cha kumpita mnyama kwa maana yote ni ubatili
Wote huendea mahali pamoja wote hutoka katika mavumbi na hata mavumbini hurudi tena
MUHUBIRI 3:17:20
Niwatakie usiku mwema mlindwe na damu ya Yesu
Binamu asante sana naweza kulala sasa Baba D popote ulipo jamaan ikufikie hii nyimbo hata binamu akisema upo na wahamiaji haramu kutoka wapi sijui
...hapana sijasahau, naweza kusahau ombi la mwingine yeyote sio husna muba na analijua hilo maana kila nikimfikiria na nahisi kuwa karibu na yeye zaidi.
Huwa napenda kutoa time kidogo ili chaguo lisiathiri nyimbo ambayo nakuwa nimepanga kuicheza siku husika. naamini unaelewa ninachomaanisha.
machaguo ya Wadhamini yatakujieni baada ya muda mfupi na tuna machaguo matatu leo Juu wa V.Mdee, Mariah wa Madame na ule wa kipenzi changu
Swty darling my kipenzi. ...I love uBinamu asante sana naweza kulala sasa Baba D popote ulipo jamaan ikufikie hii nyimbo hata binamu akisema upo na wahamiaji haramu kutoka wapi sijui
Ooh basi binamu nikajua kipenzi chako mpendwa wako husna muba kumbe huyu mwingine
...lol! Yaani muda wote huu ninapoongeaga kuhusu kipenzi changu huwa hunisikilizi jamani? Jina lake zuri kabeba jina la mama mkwe kulitajataja nitakosa penzi. Bado unataka nijibu nini aunt yangu
Ashakwambiaa ata watokee burundiiii au simaliaa yeye na mm....wanatokea Burundi
Ooh basi binamu nikajua kipenzi chako mpendwa wako husna muba kumbe huyu mwingine
Huyu wewe si ndo unasema yupo upande wako siku zoteemjomba hebu niletee kalamu niongeze jina hili kwenye ile list ya wabaya wangu. Usichelewe
Ashakwambiaa ata watokee burundiiii au simaliaa yeye na mm
Good asante my loveMuziki wa Kipekee
Unataka niseme nini kila nikisoma au hata kujihisi tu kuwa ninasoma chochote anachoandika husna muba , nampenda hata kama kuniwekea dhamana ni ngumu, analijua hili. Ni smart, anavutia, mchangamfu (hivi kwanini isiwe mchangahai!!!) na ni mtulivu. Anajijua anapoongea na mimi ninakuwa kama niko paradiso na ukimywa wake unanifanya nijihisi vibaya.
Leo kachagua wimbo nami naufanya wimbo wa kipekee.
Hivi unalikumbuka gitaa la Pauline Zongo, utalisikia humu kwa mbali
Asante Husna kwa post ya Che G
...kwani nimebisha mjomba, nilikuwa namjibu tu kuwa yule mhamiaji haramu wako anatokea Burundi, nyie hamuwezi kuachana hata ukienda ukakesha huko kama siku zile tulivyoendaga tukakaa wiki