Nikipata umepata baby tunakwenda juu × 3
Upendo wetu ndio muhimu kuwa pamoja me na wewe usije nipa wazimu kisa nakupenda wee ila jua nafsi yangu unayo wewe na kila kitu changu ni chako wewe
Binamu naomba hiyo nyimbo imfikie Baba D wangu popote alipo sitaki ukivuruge wako