Makapuku Forum

Aisee
 
Mungu atusitiri tuwe makini

Kupima afya ni vyema zaidi sasa hivi hukupa uhakika juu ya afya yako na inakufanya unakua makini zaidi

Nimevamia sijui [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] hope mko poa!! Jioni njema!

Madame S
Sizani kama kupima afya ndo dawa mana ukiukwaa imekura kwako tu

Mwenye Enzi atusitiri tusiupate
 
6/Kuhara Kuhara kwa kawaida humshambulia mtu kwa siku 1 hadi 2...
Gonjwa kuu la kuhara ni kipindupindu
Sisi tunaoishi uswahilini kuharisha siyo kesi ni kama fasheni tu...tunaharisha siku mbili tatu kisha tunaendelea tu kudunda
Kuhara husababishwa na kunywa maji yasiyochemshwa,kula vyakula vichafu n.k
Ukiumwa kipindupindu ujue umelishwa kinyesi
Huua watu 2.5 Milioni kwa mwaka
..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…