Makapuku Forum

Karibu
 
10/Malaria
Huu ugonjwa huenezwa na mbu jike aitwaye Anopheles
Unashambulia zaidi bara la Afrika kutokana na hali ya kijiografia
Mnakumbuka serikali ilianzisha kampeni ya kugawa vyandarua vya dawa....mwenzenu niliishia kuvulia kambale tu maana hakienei kitandani.
Kama unaishi Dar na hujawahi kuugua Malaria basi labda una seli mundu !!!
Husababisha vifo takribani Milioni 1 kila mwaka
...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…