Makapuku Forum

Leo katika Hostoria


1983 - Kunatokea machafuko nchini Sri Lanka yaliyojulikana kama " Black July " ambapo watu takribani 4000wanapoteza maisha na inasababisha kutokea kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo.

Pia yalojulikana kama Anti--Tamil Pogrom
Yaliongozwa na kikundi kilichojulikana kama The Liberation Tigers of Tamil Eelam...kilikuwa ni kikundi cha waasi/jeshi kilianza kwa kuwaua wanajeshi 13
......
 


Achana na Kim Kardashian au Katie Price (Jordan)
J.lo ni mmoja kati ya mastaa wa kike mapepe warembo na mapepe a.k.a cha wote
Ben Afleck,P.diddy na mastaa kibao wamepiga ...bila kuwasahau madansa wake
Filamu ya Anaconda ilimwonfezea umaarufu na pia kuingiza mkwanja wa kueleweka : Jenny fFrom The Block
: All I Have
.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…