Wapendwa kwema ....nimewamis sana post ni nyingi kinyama kinomaaaa inabid niskip sina namna
masaa 8 yamekuwa masiku ila nimeshindwa kuingia kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu

..duh, bora umekuja anko! Maana kulikuwa na fitna humu humu kuwa umefumaniwa, mimi nilibisha sana nikawa nakutetea lakini unawajua wale unaopaswa uwaweke kwenye list ya wabaya wako