Makapuku Forum

Ingawa ni dikteta ila alikuwa na kauzalendo flani ivi
Swahiba wake Hitler mfano ndo chimbuko la Volkswagen maana alitamani kila Mjerumani aendeshe gari badala ya baiskeli
Hivyo Madikteta wana mazuri yao pia
.....
Mi huyu wala sijaona udikteta wake... Basi tu wanatuaminisha hivyo
 
Kila kitu kina positive na negative bro

Mi huyu wala sijaona udikteta wake... Basi tu wanatuaminisha hivyo
Wanagharibi wakiona upo dhidi yao wanakuita Dikteta
Dikteta Mugabe
Dikteta Gaddafi
Dikteta Mussoloni
Dikteta Hitler
Dikteta Pinochet
Dikteta idd Amin
N.k
Ila sijawahi kumsikia Dikteta Mmarekani wala Mwingereza

.......
 
Leo katika Historia

Leo ni siku ya mapinduzi huko Misri.

Mapinduzi yalifanyika jioni ya Julai 1952 yakijulikana kama Free Officers Movement yaani yaliongozwa na moafisa wachache tu wa jeshi
Yaliongozwa na Gamal Abdel Nasser akishirikiana na Mohammad Naguib ambapo waliongoza mapinduzi ya kijeshi na kujinyakulia nchi
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…