Haina noma May Mond nimekutania vya kutoshaHilo Ray sio jina langu Niite Mond bwanaa..
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]....yaani umeamua kumjibu, haya, hachelewi kuomba picha aone kama ina viungo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] na ww unapambana na hali yko eeeh
[emoji3] [emoji3] [emoji3] najua ucvolipenda hlo neno nmekunyoosha...mkuu tena? mimi mkuu au ? kweli leo umeamua kuniita mkuu kabisa jamani, mimi huyu niwe mkuu, kweli, aisee mimi mkuu! mimi huyu huyu niwe mkuu. Hivi leo jumangapi kwanza? nisijekuwa jumatatu nikawa mwalimu wa zamu nikamsumbua mkuu wa shule
Woiiiiiii....yaani umeamua kumjibu, haya, hachelewi kuomba picha aone kama ina viungo
Kweli mke mweee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi wengine wa mkoani mke mwee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mke mweee[emoji3] [emoji3] [emoji3] kama vya mama Ashura au mpika chapati
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ramani veeep binamuAtanitembeza mimi nakuja Dar wiki kesho, wewe nunua ramani ikusaidie, si unajua kusoma?
Najua halipendi hlo neno nilitaka ajilalamishe adhima yngu imetimia[emoji23][emoji23][emoji23]binamu mke mwee kakuchoka anakuona mwalimu mkuu leo wooiiii
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pale wahenga wanapokunata kubembelezana
UtAbaki na mm tu
Me cjui labda Shunie afafanue...ha hahaha, hizi chipsi inaruhusiwa kunywa na fanta orange au mayonize ni soda?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kila siku nasemaga humu, yaani wanaofurahia mimi kuwa na furaha siku nzima hakuna (labda wewe tu-tena ukiwa peke yako bila anko wangu)
Umeona sasa navyoitwa leo, eti mkuu! Jamani tuhurumiane mbona bado usiku haujachanganya
Lee empire hapa anahusika vipiii binamu ujue we ni binamu yangu lakini ni kivuruge ujue kila mtu apambane na hali yake niachieni lee wangu ata akiwa na nani ndio wangu jamaanHa hahahahahaah, ngoja aje lee empire , akikujibu nitag
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Asante mama watoto
WoyoooooooooHaya kwa raha zako
Ahahhaha ndio amesem mke mweeAtakuwa ndo mwenye gitaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we ni chizi ujue mama jjNmesahau mke mweee cjui ilikuwa inahusu nn
WoyoooooooooMi na mpendwa wangu tuko poa tu