Makapuku Forum

Lol! Yaani hujasoma title ukabaki kusikiliza tu nyimbo!!! Nimesema jmosi hii tucheze tu na sio masuala ya ujumbe.
Husna nishamuimbia sana tu na sasa hivi anaandaa smooth (sharubati) ya kiwi-lime, strawberry, coconut , na painapo
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Hongera mkuu

...mkuu tena? mimi mkuu au ? kweli leo umeamua kuniita mkuu kabisa jamani, mimi huyu niwe mkuu, kweli, aisee mimi mkuu! mimi huyu huyu niwe mkuu. Hivi leo jumangapi kwanza? nisijekuwa jumatatu nikawa mwalimu wa zamu nikamsumbua mkuu wa shule
 
[emoji23][emoji23][emoji23]binamu mke mwee kakuchoka anakuona mwalimu mkuu leo wooiiii
 
[emoji23][emoji23][emoji23]binamu mke mwee kakuchoka anakuona mwalimu mkuu leo wooiiii

Kila siku nasemaga humu, yaani wanaofurahia mimi kuwa na furaha siku nzima hakuna (labda wewe tu-tena ukiwa peke yako bila anko wangu)

Umeona sasa navyoitwa leo, eti mkuu! Jamani tuhurumiane mbona bado usiku haujachanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…