Makapuku Forum

Afadhali umebadilisha avatar
Uwe ubajipima kabla ya kuweka
Zingine zitakutibulia si unajua Jf kumejaa vichaa
....
Ubajipima==Unajipima..
Leo ni mwendo wa kukukosoa tu..

Kweli maana na nilivyokalia mnazi pensi limebana miguu inaonekana kama misukumio ya chapati.
Naww utoe hiyo unaonekana unakutambi kama la le mutux
 
3/Shawn Corey Carter Ana umri wa miaka 44
Aanajulikana zaidi kama Jay Z
Ndiye mume wa Beyonce Knowles na baba mzazi wa Blue Ivy ila pia wanatarajia kupata watoto mapacha muda wowote
Ana dili kibao anazopiga pamoja na mkewe :
Inakadiriwa kuwa na utajiri wa USD 500 Milioni
..........
 
2/Sean John Combs
Ana umri wa miaka 44 anajulikana zaidi kama P Diddy
Enzi hizo wakati damu ikimchemka na akijiita Puff Daddy alikuwa akitoka kimapenzi na Jennifer Lopez ila walishindwana na kumwagana kisha akapata mwanamke mwingine
Anamiliki kampuni kibao ikiwemo ya mavazi iitwayo Sean John
Anamiliki pia studio
: Ana utajiriunaofikia USD 630 Milioni
.....
 
1/Andre Romelle Young Huyu jamaa huko kwa Trump nu kama Mkubwa Fella wasanii kibao wamepitia kwake
Ni prodyuza abayefahamika kwa jina la Dr Dre... jamaa kweli ni daktari wa muziki
Ana umri wa miaka 49
Anamiliki studio na vitega uchumi kibao
Ana utajiri wa USD 790 Milioni
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane Jumatatu
Mwisho
.............
 
Mnyamwezi huyo!
 
Huyu tetesi zinasema anafilisika
 
Watoto wameshazaliwa aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…