Hongera kwa ushindi![]()
Full Time
Utd[emoji638] :[emoji778]City
........
Goal 39'
Rashford
.
.
.
.
Tukutane baadaye wadau
Niwatakie Asubuhi Njema
......
Ahsante shemela na kwako pia[emoji120]View attachment 547100Kwa udhamini mnono wa dumejeuri nawatakieni siku njema
Shikamoo binamu yangu jamaan yaan kwa heshima kubwa mpaka magotiNaipenda sana kuanzia J3 hadi Alhamisi, Ijumaa tusiamkiane hii Salam huwa niko maeneo muhimu.
Mjomba wangu akisalimiwa hiyo Salam huwa anajidai hatokei nchi hi
Mungu akutangulize Baba D wangu upo kwenye maombi yangu [emoji120]Wakuuu kumekucha swalamaaaaaa. ..
Kuna emergency imenitokea mapema sitoweza kuweka UF ..simulizi na dondoo...
Tutakuwa wote baada ya masaa 8
Shemela wangu mie Baba double jMorning mme mwee
Ahahhah eti majambazi wajisalimishe aisee
Ebu waache kumchulia wema wa watu jamaan