Makapuku Forum

Asante mkuu kwa kweeli somo lako ni zuri saana mi binafsi nimelipenda sana

Lakini kwa kusema ukweli mi napendA kuzaa tu basi bila kuchagua ninbebe mimba bila kujua nimebeba mtoto gn


.hadi ile siku niko leba ndo nijue nimepata dume au jike

Btw hili somo ni zuri kuna wanaotafuta mababy huku mtaani nitajaribu kuwapa elimu pia

Maana umeelezea vizuuuuri hadi raha yaani
 


Mimi somo hili nimelipenda tu kwenye mambo ya style, japo hazijaelezwa sana lakini kuna ile ya popo kanyea mbingu mtoto anaweza kuzaliwa tayari ana nywele
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…