Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,322
- 35,824
[emoji134] [emoji134] [emoji134] toka peremende na warembo hadi ngedere
...ukisikia mtu amegraduate ndo huku sasa, warembo ngedere. Mjomba wangu muacheni tu bila pepo angekuwa pope
[emoji134] [emoji134] [emoji134] toka peremende na warembo hadi ngedere
Maji ni UHAI mpendwa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] walaaaNdo umenunuliwa na mpendwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] maisha huwa yanachenji[emoji134] [emoji134] [emoji134] toka peremende na warembo hadi ngedere
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Heshima yko binamu...ukisikia mtu amegraduate ndo huku sasa, warembo ngedere. Mjomba wangu muacheni tu bila pepo angekuwa pope
Kumbe umeitoa wapi[emoji1] [emoji1] [emoji1] walaaa
Wale sio vipofu ila wanatembea huku wanachati mikononi wameshika simu waleeNambie nn kile[emoji18] [emoji18]
GoodHaya
TiariNijibu ww
[emoji134] [emoji134] [emoji134] na zile fimbo ni selfie stickWale sio vipofu ila wanatembea huku wanachati mikononi wameshika simu walee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] MTU na mjomba ake...ukisikia mtu amegraduate ndo huku sasa, warembo ngedere. Mjomba wangu muacheni tu bila pepo angekuwa pope
[emoji4] [emoji4] nakunywa pia ukunyweenajua, maji ni uhai, ndo maana siogagi bia, naoga maji
Nimeikuta sehemu imeegeshwaKumbe umeitoa wapi
Usiku mwema ndugu zanguni
Mpendwa usisahau kuniwekea FARAJA ya JD inibembeleze
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mutu ya waremboLee muzee ya ngedereeee
Heshima kwako binamu[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]...ha hahaha mjomba nakumbuka sana vumbi lilivyokuwa likitimka. Siku hizi ukilianzisha wahamiaji haramu hawatulii, kila siku maandamano kudai malipo eti umewalomba na vumbi kuwatimulia
Ndo umenunuliwa na mpendwa
Wewe mbona unawekaga kila siku kwenye chupa ya majii tuliyonunua gulioni na ilivo nyeus walalamike wengine sio weweHabari za muda wadau wa nguvu, leo ilikuwa ni siku ya ajabu maana nimeamka asubuhi na nguvu za ajabu (kiporo hakimuachagi mtu salama) nikaingia kukimbizana na mkate mara mkuu anatuita wakufunzi kikaoni eti afisa elimu kaja kutuangalia utendaji kazi wetu. watu wakakaa kitako mimi nikakaa kikaoni.
kinachoongelewa muda wote hata sikielewi, ndo maana nikaamua kutembeza like tu kwenu makapuku maana kazi yenu imenifanya niwe na wakati mzuri kikaoni.
Hivi kwanini hivi vikao vya utendaji wanatugawia maji na sio bia?
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]...ukisikia mtu amegraduate ndo huku sasa, warembo ngedere. Mjomba wangu muacheni tu bila pepo angekuwa pope