Kuuliza c ujingaWee utanigombanisha na mpendwa wangu ujue
Woyoooooo mke mwee naona umeamua kutuwekea watoto wako wawili
Apo kwenye hobby ndo penyewe ...make ata mm mchezo wa pikipiki naupenda sana ...enzi hizo kawe nilikuwa natimua vumbi haswa sema kitambi now kinaninyima raha ...ila mara moja uku porini nalianzishaa ngedere wanashangaa
Ye mpaka alisusaaumerudishia
...ha hahaha mjomba nakumbuka sana vumbi lilivyokuwa likitimka. Siku hizi ukilianzisha wahamiaji haramu hawatulii, kila siku maandamano kudai malipo eti umewalomba na vumbi kuwatimulia
Mbona unawewesekaMpendwaaaa I real miss you
Ndo umenunuliwa na mpendwa
Maji ni UHAI mpendwaHabari za muda wadau wa nguvu, leo ilikuwa ni siku ya ajabu maana nimeamka asubuhi na nguvu za ajabu (kiporo hakimuachagi mtu salama) nikaingia kukimbizana na mkate mara mkuu anatuita wakufunzi kikaoni eti afisa elimu kaja kutuangalia utendaji kazi wetu. watu wakakaa kitako mimi nikakaa kikaoni.
kinachoongelewa muda wote hata sikielewi, ndo maana nikaamua kutembeza like tu kwenu makapuku maana kazi yenu imenifanya niwe na wakati mzuri kikaoni.
Hivi kwanini hivi vikao vya utendaji wanatugawia maji na sio bia?
Hayavingine umezee tu
Nijibu wwngoja bitoz aje akujibu