Daaaaah kweliii hili dili likitiki tutaamini kuna watu wanacheza na faranga....
Mshambuliaji wa Barcelona Neymar, 25, amekubali dau la Paris Saint-Germain, baada ya klabu hiyo ya Ufaransa kuwa tayari kutoa pauni milioni 195. (Esporte)
Jmn husna hilo ni jina tu alisadifu chochote,km vile tabu,masumbuko nao walikua wakakuta tyr majina wamepewa.kwan jina lako wee ulijiita mwenyewe?km ipo ipo tu still nangojea