Makapuku Forum

Leo katika Historia
1925 - Adolph Hitler anazindua rasmi kitabu chake maarufu cha Mein Kampf " My struggle"

Lilikuwa na kurasa 720
Kilihaririwa na Rudolf Hess
Kilikuwa na machapisho mawili....chapisho/toleo/mwendelezo wa pili alikuwa mwaka 1926
Hitler kwenye kitabu hiki alieleza kinagaubanga Sera yake kisiasa pamoja na mipango yake ya kuipaisha Ujerumani ili liwe taifa lenye nguvu dunia ni
.........
 
Leo katika Historia

1968 - Kampuni ya Intel inayojishughulisha na vifaa vya kompyuta yazinduliwa rasmi huko California nchini Marekani.

Ni kampuni ya kimataifa inayojishulisha na mawasiliano na teknolojia
Makao makuu yapo Santa Clara hapo California
Waanzilishi ni Gordon Moore na Robert Noyce
........
 
Leo katika Historia

1961 - Alan Pardew anazaliwa.
Ni mchezaji na kocha kutoka England.
Alizaliwa huko Wimbledon
Alikuwa ni kiungo na kuchezea klabu kibao kama vile Tottenham,Reading na Chalton Athletic
Aliichezea Crystal Palace miaka mine
Alistaafu mwishoni mwa miaka ya 1990

Newcastle Utd ndo ilimpa umaarufu kwenye ukocha
.......
 
Leo katika Historia

1918 - Ni siku ya kuzaliwa kwa Nelson Mandela.
Rais wa kwanza wa Afrika ya Kusini.

Nani zaidi kati ya Madiba na Kamvarage?
Kwangu mimi Kambarage yupo juu maana harakati zake za ukombozi zilikuwa ni kubwa nje ya nchi....kilichomwongrzea umaarufu Madiba ni kufungwa jela tu na kisha kuwasamehe weupe(makaburu) na ubaguzi wa rangi huko bado unawasumbua

Ujanani alikutana na binti mrembo na mjanjamjanja Winnie ambayo alimsaidia sana kwenye harakati za kisiasa ila akansaliti akiwa jela na ndoa yao kulegalega kisha kutengana
Alaja kumuoa Graca Machel uzeeni ambaye ni mjane waSamora Machel

Alifariki mwaka 2013 akiwa na miaka 95
What a blessing?
.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…