Ukweli mchunguUnajua anko, mimi huwa nina BP, mwanzoni ilikuwa ya kupanda na kushuka, sasa hivi unataka kuifanya ya kutambaa.
Shunie tafadhari njoo uielezee hii B na H kabla sijachukua maamuzi ya kimkakati
Hivi nyie watu msinione nafurahi mnaanza kuniangamiza roho yangu, au nyie sio binadamu jamani isije mkawa ni wageni humu duniani?
Bashi. TeAlbert
Omg!Atakuwa mlinzi ya tupendane gest hous
Kwan si ulinipelekaa wewe..na hapo ndo mnaendana vizuri, wewe na Yesu yeye na waganga, mchanganyiko mzuri kabisa, ningeshangaa msingependana
Asante binamu niwekee orugambo ya saida karoliMuziki: J3 kuelekea J4
Ni usiku mwingine tukielekea kuikamilisha Jumatatu, kapuku mheshimika ninakusalimia nikiamini siku ya leo ilikuwa nzuri sana na Jumatatu ilikuwa nzuri ukijipanga kuitafuta Jumanne siku ambayo ni ile ile kama J3 sema tarehe tu ndo zinabadilika na ukitizama kalenda yako hakuna kinachofanana na jana utakiona.
Ukijaribu kuzitizama hizi siku kikamilifu utagundua kabisa kuwa kadiri zinavyokwenda ndivyo wewe binafsi unazidi kubadilika, kiumbo hadi kiakili, unaanza kuitazama kesho na kuhakikisha kuwa kesho kutwa haikukuti ukiwa kama leo. Tutiane shime tuweze kufanikisha kila ndoto zetu halali tunazowaza.
Leo humu jukwaani kulikuwa poa sana, shukrani kwa Sakayo na Transcend kwa kutuchangamsha na kutuaminsiha kuwa migogoro ndo hutufanya tuwe thabiti katika kuhusiana kwetu, you guys are great pipo. Pole kwa BH kwa kusumbuliwa na miguu, atapona ana atarudi kuungana nasi tena hapa, salamu zimfikie.
Muziki sasa, unajua sisi hapa Mtwara naamini ni tofauti sana na wakazi wa mikoa mingine linapokuja suala la movies, huku sisi ni wapenzi wa'nachi' yaani Indian movies toka Bollywood, huku utakutana na kian Mithun Chakarabot, Govinda (sic) na kina nani sijui. Na hata tunapocheza soka, ukipigwa tobo (doba) basi kila mtu atashangilia. Bhaaa, ndo hivyo njomba, kunywa nipa na samaki nchanga mbona shega tu bwana wewe
Burudika muda huu tukijiandaa kusikiza chaguo la wasikilizaji
Eti ni kweli Baba D jamanNashangaaa
Baba D ebu rudi jamaan
Asante binamu ....Muziki: J3 kuelekea J4

Ndio umtag sasaGentlemen....
Thanks you shunie,
Mariam you're welcome..
post using my macbook air using jamiiforums app
Orugamboo ....maee orugamboooAsante binamu niwekee orugambo ya saida karoli
quastionWhich quastion you asked? Tumosa
post using my macbook air using jamiiforums app
I miss you too my loveMwache amuitee... Ni me miss tayari
Not interested!Ndio umtag sasa
...pangekuwa hapatoshiiiAngekuwa mtu yule
......
Thank youquastion
question
Sio tu mito Brazil ni miongoni nchi 5 kubwa kama sijakosea na safari tu kwa gari/ndege ndani ya Brazil kutoka Magharibi kwenda Mashariki au Kusini kwenda Kaskazini ni sawa au pengine kuzidi safari kutoka Mtwara hadi Misri
.......