Kawaida misitu ndo husababisha mvua sasa huko utasikia
Amazon rain forest
Kama ulivyoona picha ule uoto ndo tuseme misitu ya Amazon yaani mto kama kawaida hukatiza porini
Hivyo kuna misitu ya Amazon na kuna mto Amazon ndo wanapoishi
Anaconda nafikiri ushawahi kuiona ile muvi na ukaona huo msitu na mto
Walicheza hiyo muvi Jeniffer Lopez na Ice Cube
Mssitu na mto vyote vipo Brazil
.......