7/
Ob River
Ni mto unaoitwa pia
Obi
Ni nto maarufu huko Urusi sehemu ya magharibi kwenye jimbo la Siberia
Ni mmoja kati ya mitomitatu inayomwaga maji kwenye bahari ya Aktiki mingine ni Lena na Yenisei
Una urefu wa Km 3650
.
.
.Leo nimevuruga namba hivyo ungekaa huko nyuma
.......