Makapuku Forum

Umeeldweka
.....
 
TOP TEN
UPI ni mto mkubwa kati ya Amazon na Nile?
Hilo swali limezua malumbano makubwa wapi wanaoamini ni a amazon sababu tu ya upana na kina chake cha maji ....hawa wapo shihi
Wengine wanaoamini ni Nile sababu ni mrefu kwa umbali....hawa pia wapo sahihi
Wengine wameegemea kusema tu ukubwa wa mto unatofautiana kulingana na chanzo cha mto,mwinuko n.k....watajijua wenyewe

Basi tuangalie mito kumi mikubwa/mirefu zaidi dunia ni
Urefu ninaouzungumzia ni ule ambao unapimwa kwa kulaza rula kuanzia mto unapoanzia hadi kuishia
Karibuni
.......
 
Asantee
 
Ni kweli tumepitia mengi tu yatapita ahahha nimecheka ya binamu na phd ya mama mchuchu halaf mama anaumwa miguu masikini yupo tmj ameenda mara moja

Mpe pole kwa kuumwa miguu, kiuno (nyonga) vipi hakimuumi?

Nawaangalia tu, msilolijua ni usiku wa giza, PhD nimegraduate, nafanya masterPhd.

Usisahau kumpa pole BH, hospital wakishindwa aende kwa waganga

lee empire nakuona tu anko na mipango yako kharamu, kwanza usharudi tukae kimkakati kama timu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…