Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,787
Mkuu kwa sasa nimeolewa na Yesu. Nimeacha ya kale
Poa mkuuTupo mkuu japo wengi wamelala, uko huru humu. Upsndo kwa sana likes ndo kwao
Mkuu hizi ni nondo dhaifu sana kubadili msimamo wangu, isitoshe Yesu alimshinda nyoka kwa maandiko, pia Yesu hakuzini na huyo mama kisimani zaidi ya yote alimbadili kwa tabia yake ya uzinzi na akakimbia kwenda kutoa ushuhuda kijijini kuwa Yesu amemwambia kuhusu tabia zake za siri.Kwa kuwa umeamua kuja kimaandiko wacha nikufunulie... Unakumbuka wakati Yesu alienda kupiga misele jangwani hadi akakutana na ndugu shetani wakati akiwa na njaa hadi bwana mdogo akataka kumjaribu abadili jiwe kuwa mkate tayari Yesu alikuwa ni Mwana wa Mungu? Jiulize kilichompeleka kuzunguka huku na huko!
Kama hiyo haitoshi kumbuka Scene ambayo alikutwa na mwanamke msamaria kisimani akimwambia anataka kumpa maji ya uzima...alishindwaje kuwatuma kina Petro? Kisima cha kale hakifukiwi eroo...
Ahaaa kumbe! Lala salamausiku mwema ndugu zangu nawapenda wotee upendo wa kawaida
IMETOLEWA NA MKUU WA MAJESHI MAKAPUKU FORUM
ndg DEKITAMBI
Mkuu hizi ni nondo dhaifu sana kubadili msimamo wangu, isitoshe Yesu alimshinda nyoka kwa maandiko, pia Yesu hakuzini na huyo mama kisimani zaidi ya yote alimbadili kwa tabia yake ya uzinzi na akakimbia kwenda kutoa ushuhuda kijijini kuwa Yesu amemwambia kuhusu tabia zake za siri.
Kila kitu kina mwanzo na mwisho wake, nami nilifanya kiasi na nimeacha jumla.
Ninaye wangu ananitosha sana
Good morning brother.Goodmorning to you all
Tuamke tukasali wale wenzangu na mimi
Pamoja brother.Oooh Mungu akubariki, mimi hujaniudhi bali mimi nimekuudhi nisamehe broo. Nakupenda kaka
Good morning mkuu.....Goodmorning to you all
Tuamke tukasali wale wenzangu na mimi
Good morning shemeji.Good morning all
Nice Sunday
Asante Shem jumapili njm tooGood morning shemeji.
Nakutakia jpili njema.
Good morning ShemAsante Shem jumapili njm too
Leo kanisan vp??
Kanisani kama kawaida.Asante Shem jumapili njm too
Leo kanisan vp??
Salama tu brother.Habarini za asubuhi makapuk
Imeandikwa..tubuni na kuiamini injiliMkuu ningejua mto uloenda kunawa ukatakasika dhambi zako zikaisha basi ningeenda kuyanywa maji ya jito hilo maana ukiona mtu mzima anatubu basi ujue kuna dhambi zilizonona nasi kama wanufaika wa vya madhabahuni tusingekosa hata mifupa miwili mitatu iliyosahaulika kutafunwa vyema minofu yake!
Asante shemu, umeamka je!Good morning all
Nice Sunday