Sijuii hata naanzaje.... Ila jichanganye tuu ka unavyoona kuna chats za kawaida..
Siendi mie... Toka asubuhi namuuliza location hasemi... Sa hizi ndo anajibu..... Chaaaa bi mkubwa atanifungia njeWakikutumia picha..
Naomba uni-pm
Sijuii hata naanzaje.... Ila jichanganye tuu ka unavyoona kuna chats za kawaida..
Asubuhi kuna sala
Unbelievable Facts
Nukuu
Magazeti
Historia
Ratiba za michezoo
Kumi kubwa
Simulizi
Wimbo wa siku
Na mazungumzo ya hapa na pale....
Karibu
ShkamoAiseee! Hii movie kali..
Ee bhana eeh!
Oooh....usisahau kumwambia imepita miezi mitatu sasa, nilinunuaga saa mpya. Najua kwako sio ishu ila mgeni ni vizuri akafahamu
Ni nzuri uko poa??Nzuri za weewee
Okay thanksSijuii hata naanzaje.... Ila jichanganye tuu ka unavyoona kuna chats za kawaida..
Asubuhi kuna sala
Unbelievable Facts
Nukuu
Magazeti
Historia
Ratiba za michezoo
Kumi kubwa
Simulizi
Wimbo wa siku
Na mazungumzo ya hapa na pale....
Karibu
Bar ninayoendaga mimi ina mbuzi na mishkaki ya kitimoto, ukibeba kuleta home wataugua gout, na mishkaki ya Mzee wa meza ni kharamu wakiwa hawajalewa. Sasa nitakuwaje sina akili
Najua ndii unaenda sasa hivi ..Siendi mie... Toka asubuhi namuuliza location hasemi... Sa hizi ndo anajibu..... Chaaaa bi mkubwa atanifungia nje
Ha ahahhahahaha, wakiangalia wigi kiporo wanasema aunt yake Obe huyoooo anapita
Umeona eeh? Sitaki hata shkamoo yakoShkamo
Karibu mwaya, jisikie uko sebleni
WalaNajua ndii unaenda sasa hivi ..
Wewe nenda tuu..
Poa PoaWandugu habar zenu wote!!
Post sent using JamiiForums mobile app
JamaniiiiUmeona eeh? Sitaki hata shkamoo yako
....usisahau kumwambia imepita miezi mitatu sasa, nilinunuaga saa mpya. Najua kwako sio ishu ila mgeni ni vizuri akafahamu
Mlete na Smart911
Wewe nenda tuu...Wala
Mie sio mtembezi wa usiku....