Swalama kabisaYes niko poa na mambo yanaenda vyema
Vipi kwa upande wako
Mbappe anatakiwa Kuja arsenal tuReal Madrid wanafikiria kumuuza mshambuliaji Gareth Bale, 27, ili kupata fedha za kumnunua Kylian Mbappe, 18, kutoka Monaco. (Sunday Express)
Ila tulizoea hivyo kama njia moja wapo ya kuongeza uwingi mana makapuku ilikuja baada ya waliojiita wakongwe kutoa kauli chafu kwa wasio maalufu.Huo ni mtazamo wako tu mkuu
Ila haiko hivyo