Makapuku Forum

Hivi ile safari ya kg bado tu


Mdau, kuna mtu anaweka kauzibe kwenye hii safari ila wewe acha tu. Niliulamba hadi nguo zikachachia mwilini, nikajifanya ku-Google aunt akaishia ku-giggle.

Hii safari imepingwa kwa muda mrefu sana na wengi tu. Hivikaka nawe si mmoja wa wanaozibia hii safari?
 
Hapana binamu safari ipo niamini tutaenda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…