Makapuku Forum

Ndani ya hiyo nuru eti kuna uzima ukiingia kwangu kuna uzima

Nuru ya injili utukufu wa kikristo umeingia kwangu ninangara

Aisee huyu dada nampenda sana
Mimi sasa ....kuna ile sasa

Thamani ya wokovu wangu amayejua ni mwokozi wangu ....

Thamani ya maisha yangu anayejua ni Muumba ....

Nikisema nimeokoka mbona hamunielewiii....
 
Kikosi cha Taifa Stars kitakachoanza dhidi ya Rwanda Leo
1:Aishi Manula
2:Shomari Kapombe
3:Gadiel Michael
4:Nurdin Chona
5:Salim Mbonde
6:Erasto Nyoni
7:Simon Msuva
8:Himid Mao
9:John Bocco
10:Mzamiru Yassin
11:Shiza Kichuya.

Wachezaji wa Akiba ni.
1:Said Mohammed Ndunda
2:Salim Hoza
3: Boniface Maganga
4:Hamim Abdul
5:Rafael Daud
6:Joseph Mahundi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…