Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Mkuu si kuachwa ni kusalitiwa.Stori gani tena Mkuu?
Au ndo ile ya kuachwa?
Mkuu si kuachwa ni kusalitiwa.Stori gani tena Mkuu?
Au ndo ile ya kuachwa?
Naona unajaribu kujifunza umbea, umemwona wapi wewe huyo shem?Lizzie habari shemu, naona unachungulia na kirudi nyuma
Hawezi akaleta kiburi, labda ma bidada watamsumbua huko pm.Tumemuwezesha asilete kibri
Usimfanyie hivyo mwenzio.Basi utasubiri sana.
Salama kabisa my old mpenzi, habari ya jioni hii?Habari za sahizi?
Laiti ungejua maana yake![]()
![]()
![]()
Ndiyo nimejua hapa!
Sasa si ungesema tu ili kila mtu ajue kwamba umekubali swaga zangu
Usinitishe.Laiti ungejua maana yake
Old mupenzi?Salama kabisa my old mpenzi, habari ya jioni hii?
Sikutishi nakuonea hurumaUsinitishe.
Huyo ni fake Pastor.Namuona pastor kwenye ubora wake
Halafu nasikia anahonga sadakaHuyo ni fake Pastor.
Hata uniite jina gani wala siumiii.Sikutishi nakuonea huruma
Hee...Old mupenzi?
Naona unaanza tabia ya otorong'ong'o
Otorong'ong'o ndo nini tena?
Na wewe kwa habari ya kusikia hujambo.Halafu nasikia anahonga sadaka
Unaitwaje tena?Na mimi nabadilisha jina soon
Umbea sunnahNa wewe kwa habari ya kusikia hujambo.
Muulize Youngblood anajuaHee...Otorong'ong'o ndo nini tena?
Unajua kujikazaHata uniite jina gani wala siumiii.