KUWA MWANGALIFU NA MANENO YAKO UTAMKAYO.....
MATHAYO 12
37. Kwa kuwa kwa maneno yako utahesabiwa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa.
MITHALI 6
2.Basi umetegwa kwa maneno ya kinywa chako, Umekamatwa kwa maneno ya kinywa chako.
NAWATAKIA MCHANA MWEMA MBARIKIWE