Makapuku Forum

[emoji523]KUWA MWANGALIFU NA MANENO YAKO UTAMKAYO.....

[emoji524]MATHAYO 12

37. Kwa kuwa kwa maneno yako utahesabiwa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa.


[emoji524] MITHALI 6

2.Basi umetegwa kwa maneno ya kinywa chako, Umekamatwa kwa maneno ya kinywa chako.


NAWATAKIA MCHANA MWEMA MBARIKIWE[emoji7][emoji7]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…